– RAISE –
INUKA
Kizazi kipya kipo tayari na kinangojea nafasi yake . Wame elimika, wanamotisha, na wako tayari kujifunza. Wana haja ya kujitolea na kujitambua, kwa pamoja kushinda woga, huzuni, chuki, waingie kwenye ulimwengu bora wenye upendo
AUFBRUCH
Eine junge Generation steht bereit und wartet auf ihre Chance.
Gut ausgebildet, aufgeschlossen und gestärkt verlangt es sie nach Anerkennung und Selbstverwirklichung,
umgemeinsam Angst, Leid und Neid zu überwinden für den Start in eine liebende und bessere Welt.
RAISE
A young generation is ready and waiting for its chance. Well-trained, open minded and invigorated, they are yearning for acknowledgement and self-realization, to overcome together fear, sorrow and envy to set off into a loving and better world.